Febadi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Febadi (kwa Kilatini pia: Phaebadius, Foegadius; alifariki 393 hivi[1]) alikuwa askofu wa Agen, leo nchini Ufaransa, walau kuanzia mwaka 357. Rafiki wa Hilari wa Poitiers, ni maarufu vilevile kwa msimamo wake katika imani sahihi akilinda waamini dhidi ya uzushi [2][3].

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.
Maandishi
Aliandika vitabu mbalimbali, kikiwemo kimoja dhidi ya Uario kilichotufikia na kinachoonyesha ubora mkubwa [5][6].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads