Fefe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fefe (Hyparrhenia rufa) ni aina ya manyasi inayoishi miaka mingi. Inatokea Afrika katika maeneo mbalimbali. Jina hili litumika pia kwa spishi nyingine za jenasi Hyparrhenia. Manyasi haya hutumika sana kwa kuezekea mapaa na pia kutengenezea mikeka na vikapu.
Remove ads
Viungo vya nje
- Taarifa kutoka PROTA Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Taarifa kutoka Feedipedia
Picha
- Mmea mzima
- Suke
- Maua
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads