Felikola
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Felikola (alifariki Roma, karne ya 4 hivi) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini[2][3].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads