Felisi wa Split
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Felisi wa Split (alifariki Split, Dalmatia, leo nchini Kroatia, mwanzoni mwa karne ya 4) ni kati ya Wakristo wengi waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads