Fergusi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fergusi (pia: Fergus, Fergustus, Fergustian; karne ya 7 - 730 hivi) alikuwa askofu mmisionari kati ya Wapikti wa Uskoti hadi kifo chake[1]. Labda alitokea Ireland.

Tangu kale anaadhimishwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads