Fernando Sucre

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fernando Sucre
Remove ads

Fernando Sucre ni jina kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Amaury Nolasco. Uhusika huu ulitambulishwa katika sehemu ya pilot ya mfululizo akiwa kama mfungwa mwezi wa mataalamu Michael Scofield (uhusika umechezwa na Wentworth Miller).

Ukweli wa haraka Uhusika wa Prison Break, Pia anajulikana kama: ...

Akiwa na asili ya Kipuerto Rico, Sucre alikulia mjini Chicago, ambamo alikuwa mogogoro mwingi wa kisheria. Mama yake Bi. Maria alimpeleka kwenda kuishi na ndugu zake huko mjini New York City ili kuweza kupata msaada kadha wa kadha. Akiwa huko, alipata kazi godauni na akafanikiwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Bi. Maricruz Delgado.

Remove ads

Viungo vya nje


Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads