Feruchi wa Mainz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Feruchi wa Mainz (kwa Kilatini: Ferrutius au Ferruccius; alifariki Kastel, leo nchini Ujerumani, 300 hivi) alikuwa askari wa Dola la Roma huko Mainz.


Baada ya kuongokea Ukristo aliacha jeshi ili kumtumikia Kristo vizuri zaidi.
Kwa ajili hiyo inasemekana alikamatwa na kufungwa bila chakula hadi kifo chake[1].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads