Filbert Bayi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Filbert Bayi
Remove ads

Filbert Bayi (alizaliwa 23 Juni 1953) ni mwanariadha kutoka nchi ya Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1980 kule Urusi upande wa mbio za masafa marefu ya kati na kushinda nishani ya fedha katika mbio ya mita 3000.

Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Remove ads

Mwaka wa 1974 alikuwa ameboresha rekodi ya mbio ya mita 1500, na mwaka wa 1975 aliboresha rekodi ya mbio ya maili moja.

Bayi ni mwanamichezo aliyejenga jina la taifa lake Tanzania kwa heshima ya michezo. Ni kwamba mara baada ya uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 karibu michezo yote ilipewa umuhimu na kuvutia wote, watazamaji na wachezaji.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads