Firmus wa Tagaste
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Firmus wa Tagaste ni kati ya maaskofu wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao.
Aliteswa sana ili aeleze muumini wa jimbo lake la Tagaste (leo Souk Ahrus, nchini Algeria) mmojawapo amefichama wapi, lakini alikataa.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads