Wilaya ya Fizi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Fizi ni wilaya ya kusini katika mkoa wa Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Lugha ya wenyeji wa Fizi ni Kibembe (Ebembe). Wilaya hiyo inajulikana kama sehemu ambayo rais Joseph Kabila alizaliwa. Ndipo palipoanza kundi la Mai-Mai.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads