Flavi na wenzake

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Flavi na wenzake 4 (walifariki Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, 303) ni Wakristo ambao waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian kwa sababu walikataa kuabudu miungu[1].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 7 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads