Flicker Records
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Historia
Flicker Records ni studio ya kurekodimuziki ya Kikristo ambayo ina makao yao mjini Franklin, Tennessee. Ilianzishwa na wanachama wa kundi la Kikristo la Audio Adrenaline. Hasa studio hii inalenga wasanii wanaoimba nyimbo za aina ya mwamba, ingawa pia ina sehemu ya, Big House Kids,inayorekodi nyimbo za watoto za Kikristo.[1]
Nyimbo za studio hii zilisambazwa na EMI tangu mwaka wa 1999.[2] Tangu 24 Machi 2006, Flicker imekuwa mwanachama wa Kundi la Provident Label, sehemu ndogo ya Sony Music Entertainment.[3]
Remove ads
Wasanii
- Riley Armstrong (mwimbaji)
- eleventyseven (mwimbaji)
- Fireflight (mwimbaji)
- Flatfoot 56 (mwimbaji,sasa amejiunga na Old Shoe Records)
- Everyday Sunday ((mwimbaji),amejiunga na Inpop Records)
- Kids in the Way (Waliungana tena, wanaimba katika tamasha ndogondogo )
- Monk and Neagle (Wanaimba)
- Mortal Treason (Waliachana)
- Nevertheless (bendi)(Waliachana)
- Phat Chance
- Pillar (bendi) (Wanaimba, walijiunga na Essential Records)
- Royal Ruckus
- Staple (bendi) (Waliungana tena)
- Stereo Motion
- Subseven (Waliachana)
- The Swift (Waliachana)
- T-Bone (mwimbaji)
- Until June (Wanaimba, on SonyBMG/Authentik Artists)
- Wavorly
Remove ads
Angalia Pia
- Orodha ya studio
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads