Tennessee
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tennessee ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Imepakana na Kentucky, Virginia, North Carolina (Carolina Kaskazi), Georgia, Alabama, Mississippi, Arkansas na Missouri. Mipaka asilia ni Mto Mississippi upande wa maghaibi. Mji mkuu ni Nashville na mji mukubwa ni Memphis. Jimbo lina wakazi wapatao 6,214,888 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 109,247.

Gavana ya jimbo ni Phil Bredesen.

Remove ads
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tennessee kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads