Florensa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Florensa
Remove ads

Florensa (Frigia, 337; Comblé, leo nchini Ufaransa, 366 hivi) alikuwa bikira ambaye alibatizwa na askofu Hilari wa Poitiers, aliyekuwa uhamishoni katika eneo la Uturuki wa leo, akamfuata aliporudi Ulaya akaishi kama mkaapweke hadi alipofariki dunia [1].[2].

Thumb
Mt. Florensa alivyochorwa (1856).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba[3]..

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads