Floro wa Lodeve

From Wikipedia, the free encyclopedia

Floro wa Lodeve
Remove ads

Floro wa Lodeve (pia: Flour, Florus, Fleuret, Floret au Flouret; alifariki Lodeve, Ufaransa, karne ya 4 hivi) alikuwa Mkristo anayeheshimiwa hadi leo kama mtakatifu ingawa habari zake hazijulikani kwa hakika [1][2].

Thumb
Mt. Floro katika dirisha la vioo vya rangi.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads