Sisimizi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sisimizi
Remove ads


Sisimizi ni familia ya wadudu wadogo wanaoishi katika jamii. Jamii hizi zinaweza kuwa na sisimizi makumi kadhaa tu au kuwa na mamilioni kulingana na spishi mbalimbali.

Thumb
Sisimizi jinsi anavyokamua vidukari
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Makazi yao yapo mara nyingi chini ya ardhi au mahali pengine panapohifadhiwa kama chini ya jiwe kubwa au katika nafasi ndani ya miti. Wanatumia udongo na nyuzi za mimea kwa ujenzi.

Jenasi kadhaa kama vile siafu (Dorylus spp.) hawana makazi ya kudumu bali wanahamahama.

Mchwa hawako karibu na sisimizi hata kama wanafana nao katika mengi na kuitwa kwa Kiingereza "white ants" lakini wako katika nasaba nyingine pamoja na kombamwiko.

Remove ads

Majina ya aina za sisimizi kwa Kiswahili

  • Chungu (aina inayouma)
  • Nyenyerere (wadogo weusi)
  • Majimoto (aina nyekundu inayouma vibaya sana)
  • Samesame (aina nyekundu)
  • Sangara (aina nyekundu)
  • Siafu (jenasi Dorylus)
  • Sungusungu (Megaponera analis)

Picha

Remove ads

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sisimizi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads