Arithropodi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Remove ads
Arthropodi ni kundi kubwa la wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo. Mifano ni wadudu, nge, buibui au kaa. Katika uainishaji wa kisayansi wamejumlishwa katika faila ya Arthropoda.
Wote huwa na kiunzi cha nje kinachoundwa na khitini.
Spishi nyingi ni ndogo, hata chini ya mm 1 lakini spishi kadhaa ni kubwa sana, hadi zaidi ya m 1. K.m. kaa wa Japani anaweza kufikia uzito wa kilogramu 15-20. Faila hii ina spishi nyingi sana zinazopatikana kila sehemu ya dunia. Vifundo vya arithropodi ni kama vipashio vilivyounganishwa kuleta mtiririko wa mwili wao.
Remove ads
Uainishaji
Mwainisho wa kawaida wa arithropodi unaonyeshwa katika sanduku la uainishaji. Lakini tangu mwanzo wa karne hii miainisho mibadala imependekezwa. Pendekezo la hivi karibuni ni hili (vifundo havikupewa tabaka)[1]:
- Chelicerata
- Kifundo bila jina
- Myriapoda
- Pancrustacea
- Oligostraca
- Ostracoda
- Ichthyostraca
- Mystacocarida
- Kifundo bila jina
- Pentastomida
- Branchiura
- Kifundo bila jina
- Multicrustacea
- Malacostraca
- Hexanauplia
- Copepoda
- Thecostraca
- Allotriocarida
- Kifundo bila jina
- Cephalocarida
- Branchiopoda
- Kifundo bila jina
- Remipedia
- Hexapoda
- Kifundo bila jina
- Multicrustacea
- Oligostraca
Remove ads
Picha
- Jongoo (Myriapoda)
- Trilobiti (Trilobita)
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads