Fortunati na Ermagora
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fortunati na Ermagora (walifariki Aquileia, leo nchini Italia, karne ya 3) walikuwa Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.

Inasadikika Ermagora alikuwa askofu wa kwanza wa Aquileia na Fortunati shemasi wake [1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads