Frambodi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Frambodi
Remove ads

Frambodi (pia: Framboldus, Frambold, Franbolt, Franbourd, Frambaud, Fraimbauld, Frambourg; Auvergne, 500 hivi - 15 Agosti 570) alikuwa mmonaki aliyeishi mara upwekeni mara pamoja na wafuasi aliowafundisha maisha ya kijumuia karibu na Le Mans, leo nchini Ufaransa[1].

Thumb
Sanamu yake.

Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 16 Agosti[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads