Frederick Duncan Michael Haldane
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Frederick Duncan Michael Haldane (amezaliwa 14 Septemba, 1951) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Mwaka wa 2016, pamoja na David James Thouless na John Michael Kosterlitz, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Alipewa tuzo kwa utafiti wa kinadharia katika maelezo ya tabia za mata katika hali karibu na sifuri halisi (ing. "for theoretical discoveries of topological phase transitions and topological phases of matter")[1][2][3] .


Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads