Fuluwili
Ndege wa vinamasi wa familia Sarothruridae From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fuluwili ni ndege wa jenasi Canirallus na Sarothrura, jenasi pekee za familia Sarothruridae. Ndege hawa wanafanana na viluwiri lakini wana rangi kali zaidi. Wanafanana nao kwa mwenendo pia.
Remove ads
Spishi
- Canirallus beankaensis, Fuluwili wa Tsingy (Tsingy Wood Rail)
- Canirallus kioloides, Fuluwili wa Madagaska (Madagascar Wood Rail)
- Canirallus oculeus, Fuluwili Koo-kijivu (Grey-throated Rail)
- Sarothrura affinis, Fuluwili Mkia-mwekundu (Striped Flufftail)
- Sarothrura ayresi, Fuluwili Mabawa-meupe (White-winged Flufftail)
- Sarothrura boehmi, Fuluwili Kidari-michirizi (Streaky-breasted Flufftail)
- Sarothrura elegans, Fuluwili Madoa-njano (Buff-spotted Flufftail)
- Sarothrura insularis, Fuluwili wa Madagaska (Madagascar Flufftail)
- Sarothrura lugens, Fuluwili Vidole-virefu (Chestnut-headed Flufftail)
- Sarothrura pulchra, Fuluwili Madoa-meupe (White-spotted Flufftail)
- Sarothrura rufa, Fuluwili Kidari-chekundu (Red-chested Flufftail)
- Sarothrura watersi, Fuluwili Domo-jembamba (Slender-billed Flufftail)
Remove ads
Picha
- Fuluwili koo-kijivu
- Fuluwili mabawa-meupe
- Fuluwili madoa-njano
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads