Future
Rapa wa Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nayvadius DeMun Cash (jina la kuzaliwa Nayvadius DeMun Wilburn; anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Future; alizaliwa Atlanta, jimboni Georgia, 20 Novemba 1983) ni mwimbaji, mwandishi, mtayarishaji wa rekodi wa Marekani aliyeshinda Tuzo la Grammy[2].
Alikulia Atlanta. Alianza kushiriki katika muziki kama sehemu ya ushirikiano wa familia ya Dungeon, ambako aliitwa "Future".
Baada ya kumaliza mfululizo wa mixtapes kati ya mwaka 2010 na 2011, alisaini mkataba mkubwa na lebo iitwayo Epic Records.
Mwezi Aprili 2012 alitoa albamu iitwayo Pluto.
Mwezi Aprili 2014 alitoa albamu nyingine iitwayo Honest.
Remove ads
Diskografia
Albamu za studio
- Pluto (2012)
- Honest (2014)
- DS2 (2015)
- Evol (2016)
- Future (2017)
- Hndrxx (2017)
- The Wizrd (2019)
Kandamseto
- Beast Mode (akishirikiana na Zaytoven) (2015)
- What a Time to Be Alive (akishirikiana na Drake) (2015)
- Super Slimey (akishirikiana na Young Thug) (2017)
- Beast Mode 2 (akishirikiana na Zaytoven) (2018)
- Wrld on Drugs (akishirikiana na Juice Wrld) (2018)
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads