Gabès
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gabes ni mji mkuu wa wilaya ya Gabès huko Tunisia.
Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 130,984[1]. Hivyo ni mji wa sita kwa ukubwa nchini Tunisia.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads