Gabriel Abdel El-Metgaly

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Gabrieli Abdel El-Metgaly (30 Machi 1918 - 3 Septemba 1978) alikuwa padri wa Kanisa la Wakopti aliyeuawa na Waislamu wenye itikadi kali nyumbani mwake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads