Gdynia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gdyniamap
Remove ads

Gdynia (kwa lugha ya Kipolandi; kwa Kijerumani: Gdingen) ni mji wa Polandi wenye bandari katika Bahari ya Baltiki.

Thumb
Gdynia, Poland

Mji huo ulikuwa na wakazi 247,799 mnamo Juni 2018.

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads