Gilduino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gilduino (Combourg, Ille-et-Vilaine, Ufaransa, 1052 - San Piede in Vallèe, Ufaransa, 27 Januari 1077) alikuwa shemasi wa Dol ambaye alikataa uaskofu mbele ya Papa Gregori VII akijiona hastahili akafariki katika safari ya kurudi kutoka Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 27 Januari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads