Gilgil

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gilgil
Remove ads

Gilgil ni mji wa Kenya, kaunti ya Nakuru katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Thumb
Mmojawapo wa wafugaji Gilgil
Thumb
Kilimo cha umwagiliaji Gilgil
Ukweli wa haraka Nchi, Kaunti ...

Wakazi walikuwa 35,293 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

Gilgil ni pia kata ya eneo bunge la Gilgil[2].

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads