Gimer
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gimer (alifariki 13 Februari 932 BK) alikuwa askofu, labda wa kwanza[1], wa Carcassonne (leo nchini Ufaransa)[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Februari[4].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads