Glenn Morshower
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Glenn Morshower (amezaliwa kama Glenn Grove Morchower;[1] mnamo tar. 24 Aprili 1959) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza kama Kachero wa Siri wa Marekani, Aaron Pierce, katika mfululizo wa kipindi cha televisheni maarufu kama 24. Ukiachia nyota kiongozi wa mfululizo huo Bw. Kiefer Sutherland (Jack Bauer), Morshower ni mwigizaji pekee aliyeonekana katika kila msimu wa mfululizo huo.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads