Kiefer Sutherland

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kiefer Sutherland
Remove ads

Kiefer William Frederick Dempsey George Rufus Sutherland (amezaliwa tar. 21 Desemba 1966) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchnii Kanada. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Jack Bauer kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha FOX marufu kama 24. Yeye ni mshindi wa tuzo za Emmy Award na Golden Globe Award.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Miaka ya kazi ...
Remove ads

Filamu

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads