Hanazono wa Japani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hanazono (14 Agosti, 1297 – 2 Desemba, 1348) alikuwa mfalme mkuu wa 95 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tomihito, na alikuwa mwana wa nne wa Fushimi. Mwaka wa 1308 alimfuata binamu yake Go-Nijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka 1318. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Daigo.

Angalia pia
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hanazono wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads