Kameyama wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kameyama wa Japani
Remove ads

Kameyama (9 Julai, 1249 4 Oktoba, 1305) alikuwa mfalme mkuu wa 90 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tsunehito, na alikuwa mwana wa saba wa Go-Saga. Mwaka wa 1259 alimfuata kaka yake Go-Fukakusa, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1274. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Uda.

Thumb
Mchoro wa Kameyama

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kameyama wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads