Go-Hanazono

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Hanazono
Remove ads

Go-Hanazono (19 Julai 1419 18 Januari 1471) alikuwa mfalme mkuu wa 102 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hikohito. Tarehe 7 Septemba 1428 alimfuata Shoko, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 21 Agosti 1464. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Tsuchimikado.

Thumb
Mchoro wa Go-Hanazono

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Hanazono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads