Go On Girl
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Go On Girl" ni wimbo uliotungwa na Ne-Yo, Tor Erik Hermansen, Mikkel S. Eriksen, Espen Lind na Amund Bjorklund kwa ajili ya albamu ya pili ya Ne-Yo ya Because of You. Ilitolewa katika maredio ikiwa kama single ya nne kunako 4 Desemba 2007.
Ilipata kushika nafasi ya 29 katika chati za Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs, na kumfanya Ne-Yo kuwa nafasi ya kumi katika chati za arobaini bora. Pia, katika siku za usoni, ikapata kushika nafasi ya 96 kwenye chati za Billboard Hot 100.
Remove ads
Muziki wa video
Muziki wa viedo hii ulipigwa kwa staili ya weusi na weupe yaani black and white kabisa. Viedo iliongozwa na Hype Williams na kuanza kurushwa hewani na MTV Jams. Waliouza sura kwenye video hii ni Jade Cole kutoka America's Next Top Model Cycle 6.
Chati
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads