Bust It Baby

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bust It Baby
Remove ads

"Bust It Baby" ni wimbo wa msanii Plies akimshirikisha Ne-Yo. Wimbo ulitolewa mnamo tar. 25 Januari 2008. Huu ni wimbo wa pili wa Plies kutoka katika albamu yake ya Definition of Real. Huu ulifanywa kama wimbo wa ziada kwenye albamu yake, wakati "Bust It Baby Pt. 2" ukawa wimbo rasmi wa albamu.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

Pia kulikuwa na remix nyingine imemshirikisha Trey Songz. Remix yake imechukuwa sampuli ya wimbo wa zamani wa Janet Jackson wa mwaka 1990 maarufu kama "Come Back to Me".[1] Kuna remix nyingine ambayo imemshirikisha Janet mwenyewe.

Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chati (2008), Nafasi iliyoshika ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads