Goardo na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Goardo na wenzake (pia: Gunardo, Gunhard, Gohard, Gundard au Guichard; walifariki Nantes, Bretagne, leo nchini Ufaransa, 24 Juni 843) walikuwa askofu na Wakristo wengi waliouawa na Wanormani wakati wa Misa kwa ajili ya imani yao[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads