Godefrid wa Melveren
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Godefrid wa Melveren au Godfried of Mervel (1512 - 1572[1]) alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum[2].


Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe ya kifodini chao, 9 Julai[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads