Golden Gate Bridge
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Golden Gate Bridge ni daraja ambalo limepita juu ya Pwani ya San Francisco. Linatoka San Francisco linakwenda Marin County, katika jimbo la Marekani la California. Lilianza kutumiwa mnamo mwaka wa 1937. Lina urefu wa ft 9,266 (2,824 m). Wakati ujenzi wa daraja ulipokamilika, lilikuwa daraja refu kuliko yote duniani. Kwa sasa kuna madaraja manane ambayo ni marefu. Kwa watu wengi, huamini kwamba bado hili ndilo daraja zuri duniani.

Remove ads
Historia
Ujenzi
Leo
Viungo vya Nje
- Golden Gate Bridge Ilihifadhiwa 10 Agosti 2012 kwenye Wayback Machine. official site
- Golden Gate Bridge katika Open Directory Project
- Images of the Golden Gate Bridge from San Francisco Public Library's Historical Photograph database
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads