Golgo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Golgo (Kigiriki cha Kale: Γόλγος, Gólgos) katika visasili vya Kigiriki, ni mwana wa Afrodita na Adoni, kaka wa Beroe, na mwanzilishi wa jiji la Kale la Golgi (pia inajulikana kama Golgi ya Kupro, iliyoko katika Wilaya ya Larnaka huko Kupro). [1]
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads