Golyam Perelik
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Golyam Perelik ni mlima mrefu kuliko milima yote ya Rodopi iliyoko Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Ugiriki na hasa Bulgaria.
Urefu wake ni mita 2,191 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Golyam Perelik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads