Gozelino

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gozelino
Remove ads

Gozelino (kwa Kifaransa: Gauzelin; karne ya 9 - 7 Septemba 962) alikuwa askofu wa Toul, katika eneo la Ufaransa wa leo, tangu mwaka 922[1][2] hadi kifo chake [2][3] .

Thumb
Mt. Gozelino alivyochorwa.

Alistawisha nidhamu kati ya wamonaki [3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba [5][6][7].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads