Grace Mapunda
Mwigizajiwa filamu za kitandani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Grace Mapunda (maarufu kama Mama Kawele au Tessa; 1969 - 2024) alikuwa mwigizaji wa filamu za Tanzania (Swahiliwood), anayesifika kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza filamu za hisia kutokana na kuwa makini katika kuwakilisha uhusika halisi japo anaonekana kuzipatia filamu za aina hiyo.[1]
Remove ads
Familia
Grace Mapunda amebarikiwa kuwa na watoto wawili (Happiness pamoja na Ritha) ambao baba yao alifariki siku za nyuma. Happiness huigiza na kuimba, aliwahi kuigiza na mama yake katika filamu ya Fake Smile. Ritha naye ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya.[1]
Kazi
Filamu alizoigiza ni pamoja na House of death, Hard Price, Nilindiwe, Kichupa, Majuto, Mwaka wa Hasara, chloroquine love, Chungu ya Nafsi, Poor Minds, Jibu la ndoto, Back to life na zingine nyingi[1] Batuli.
Maradhi na Kifo
Grace Mapunda alipoteza maisha wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Msemaji wa familia Aziz Mohamedi aabaye ndiye mzalishaji wa tamthilia pendwa ya Huba ililieleza gazeti la Mwananchi, Grace alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya nimonia mpaka mauti ilipomkuta.[2]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads