Greatest Hits (albamu ya Spice Girls)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Greatest Hits (albamu ya Spice Girls)
Remove ads

Greatest Hits ni mkusanyo wa vibao vikali vya kundi la muziki wa pop la Uingereza, Spice Girls. Ndiyo albamu ya kwanza kutolewa baada ya miaka saba na ilisaidiwa na sindikizo la ziara yao ya kimataifa. Ilipata kutolewa moja kwa moja dunia kote mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 2007, kasoro Marekani pekee ambapo ilipata kutolewa mwisho 6 Novemba 2007 na kuja kutolewa ile kamili mnamo 15 Januari 2008.[1] Greatest Hits imeuza takriban nakala zaidi ya milioni 1.7 kwa hesabu ya dunia nzima.

Ukweli wa haraka ya Spice Girls, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Toleo la kawaida

  1. "Wannabe" (Radio Edit) – 2:56
  2. "Say You'll Be There" (Single Mix) – 3:58
  3. "2 Become 1" (Single Version) – 4:04
  4. "Mama" (Radio Version) – 3:42
  5. "Who Do You Think You Are" (Radio Version) – 3:46
  6. "Move Over" – 2:44
  7. "Spice Up Your Life" (Stent Radio Mix) – 2:56
  8. "Too Much" (Radio Edit) – 3:53
  9. "Stop" – 3:26
  10. "Viva Forever" (Radio Edit) – 4:14
  11. "Let Love Lead the Way" (Radio Edit) – 4:16
  12. "Holler" (Radio Edit) – 3:56
  13. "Headlines (Friendship Never Ends)" – 3:31
  14. "Voodoo" – 3:11
  15. "Goodbye" (Radio Edit) – 4:25

Toleo maalumu

  • Disc One: Toleo la kawaida[2]
  • Disc Two: DVD, containing music videos for:
  1. "Wannabe" – 3:56
  2. "Say You'll Be There" – 3:52
  3. "2 Become 1" – 3:56
  4. "Mama" – 3:37
  5. "Who Do You Think You Are" – 3:42
  6. "Spice Up Your Life" – 3:05
  7. "Too Much" – 3:50
  8. "Stop" – 3:31
  9. "Viva Forever" – 4:10
  10. "Let Love Lead the Way" – 4:18
  11. "Holler" – 4:15
  12. "Headlines (Friendship Never Ends)" – 3:56 (Marekani release only)
  13. "Goodbye" – 4:35

Box Set

  • Disc One: Standard edition
  • Disc Two: Special edition (Music Videos)
  • Disc Three: Karaoke collection:
  1. "Wannabe" – 2:54
  2. "Say You'll Be There" – 3:54
  3. "2 Become 1" – 4:07
  4. "Mama" – 3:43
  5. "Who Do You Think You Are" – 3:45
  6. "Move Over" – 2:48
  7. "Spice Up Your Life" – 2:55
  8. "Too Much" – 3:55
  9. "Stop" – 3:31
  10. "Viva Forever" – 4:10
  11. "Let Love Lead the Way" – 4:26
  12. "Holler" – 4:10
  13. "Goodbye" – 4:35
  • Disc Four: Remix collection (sio pamoja na toleo la U.S.):
  1. Wannabe (Motiv 8 Vocal Slam Mix) – 6:21
  2. Say You'll Be There (Junior's Main Pass) – 8:35
  3. 2 Become 1 (Dave Way Remix) – 4:02
  4. Mama (Biffco Mix) – 5:50
  5. Who Do You Think You Are (Morales Club Mix) – 9:31
  6. Spice Up Your Life (Murk Cuba Libre Mix) – 8:07
  7. Too Much (SoulShock & Karlin Remix) – 3:54
  8. Stop (Morales Remix) – 7:25
  9. Viva Forever (Tony Rich Remix) – 5:21
  10. Holler (MAW Remix) – 8:32
  11. Goodbye (Orchestral Mix) – 4:16
Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chati (2007), Nafasi iliyoshika ...

Mauoz ya IFPI:1,700,000

Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads