Gregori wa Tours
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gregori wa Tours (Clermont-Ferrand, Auvergne, 30 Novemba 538 hivi [1] - Tours, 17 Novemba 594[2]) alikuwa askofu wa Tours, katika Ufaransa wa leo, baada ya jamaa yake Eufroni[3].

Ni maarufu pia kama mwanahistoria kwa kuandika "Historia ya Wafaranki" kwa mtindo mnyofu na rahisi kueleweka [4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Novemba[5].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Maandishi yake
Vyanzo vingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads