Guangzhou

From Wikipedia, the free encyclopedia

Guangzhou
Remove ads

Guangzhou (pia: Canton, kwa Kichina: 广州) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Guangdong.

Thumb
Mji wa Guangzhou
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, kuna wakazi wapatao milioni 9.8 wanaoishi katika mji huu.

Mji uko mita 11 juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guangzhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads