Guerrero (jimbo)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Guerrero (jimbo)
Remove ads

Guerrero ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kusini ya nchi. Mji mkuu ni Chilpancingo (jina rasmi: Chilpancingo de los Bravo; pia: Ciudad Bravo) na mji mkubwa ni Acapulco.

Thumb
Guerrero, Mexico
Thumb
Bendera ya Guerrero
Thumb
Mahali pa Guerrero katika Mexiko

Impakana na Michoacán, Oaxaca, Mexico, Morelos na Puebla. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 3,115,202. Una eneo la 64,281 km².

Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya kiongozi wa uhuru wa Mexiko Jeneral Vicente Ramón Guerrero Saldaña.

Siku hizi imekuwa nchi tajiri kutokana na utalii.

Gavana wa jimbo ni Zeferino Torreblanca.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Remove ads

Miji Mikubwa

  1. Acapulco (717,766)
  2. Chilpancingo (166,796)
  3. Iguala (110,390)
  4. Zihuatanejo (62,367)


Viungo vya Nje

Thumb
Acapulco



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guerrero (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads