Hadamar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hadamar ni mji mdogo huko ardhi ya Westerwald magharibi wa Ujerumani.


Hadamar ipo wilaya ya Limburg-Weilburg ya jimbo Hesse, kuna kata mbili, Niederzeuzheim, Oberzeuzheim na Niederhadamar.
Hadamar ipo ukingo ya mto Elb, Elb ina mwisho kwa mto Lahn huko Limburg an der Lahn.
Hadamar ina kituo cha reli ya Dreiländerbahn ya HLB, mstari RB90 (Westerwald-Sieg-Bahn) Limburg - Diez Ost - Westerburg - Hachenburg - Altenkirchen - Wissen - Siegen Hauptbahnhof.
Remove ads
Viungo vya nje
- Tovuti ya mji ya Hadamar (Kijerumani)
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads