Hesse

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hesse
Remove ads

Hesse (Kijerumani:Hessen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 6,1 kwenye eneo la 21 114 km². Mji mkuu ni Wiesbaden. Waziri mkuu ni Volker Bouffier (CDU).

Thumb
Mahali pa Hesse katika Ujerumani
Thumb
bendera ya Hesse

Jiografia

Hesse imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini - Westfalia, Saksonia ya chini, Thuringia, Rhine-Palatino, Baden-Württemberg na Bavaria.

Miji mikubwa ni pamoja na Frankfurt am Main, Wiesbaden, Kassel, Darmstadt, Offenbach, Marburg, Fulda, Gießen, Wetzlar, Hanau na Bad Homburg. (Angalia Orodha ya miji ya Hesse.)

Rhine, Lahn na Main ni mito muhimu zaidi.

Picha za Hesse

Tovuti za Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hesse kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Maelezo zaidi Majimbo ya Ujerumani ...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads