Halima Abdallah Bulembo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Halima Abdallah Bulembo (amezaliwa tarehe 1 Aprili 1991) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads