Hananasif
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hananasif ni kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 14109.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 27,615 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 37,115 waishio humo.[2]
Katika kata hiyo inapatikana shule ya sekondarI ya Hananasif na parokia ya Kanisa Katoliki Mt. Ana Hananasif.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads